Jinsi ya Kupika Biskuti


Leo nimetengeneza hizi Biskuti kwa uzuri kabisa na ni rahisi sana .

MAHITAJI

  • Sukari Laini - Vijiko vikubwa 4 
  • Butter - Vijiko 6 
  • Unga wa baking Robo na kiasi kidogo 
JINSI YA KUTENGENEZA
  1. Kwanza Changanya butter na sukari vichanganyike haswaaaa, Kisha weka unga changanya haswaa.... ila huu haiwi kama ule wa chapati bali inakuwa kavu kavu, tengeneza shape moja kubwa kama upendavyo inaweza kuwa kama mche wa sabuni au lichapati kubwa. 
  2. Weka kwa friji kwa dakika 30 kisha toa na kata katika shape uitakayo kisha oka kwa oven kwa dakika 20 toa acha zipoe tayari kwa kula 

No comments:

Post a Comment

@chefkile