Jinsi ya Kuandaa Supu Mbichi Yenye Afya TeleLeo kuna vitu vitamu zaidi

 MAHITAJI 


  • Njegere mbichi 
  •  Nanasi 
  • Maji ya nazi 
  • Vijipande vya nazi mbichi 
  • Udaha (cayenne) 
  • Kiini cha yai kibichi 

JINSI YA KUANDAA  1. Kwanza blend pamoja njegere, nanasi, maji ya nazi na udaha. 
  2. Baada ya kuweka mix yako kwa bakuli weka coconut flakes ( vijipande vya nazi mbichi) kisha malizia kwa kuweka kiini cha yai 
  3. Mlaji atamix kiini cha yai na kunywa kama juice , smoothie au supu

No comments:

Post a Comment

@chefkile