Jinsi ya Kuandaa Mlo wa Bila Kupika - Kula Vibichi kwa AfyaWajua kwa vile vitu vinafaa kula vibichi ni raha sana. Lakini wengi huwa hawawezi; sasa hapa nakuonyesha mchanganyiko ambao ukila vikiwa vibichi bado iutafurahia.

Vyote vibichi

MAHITAJI


  • Mchicha 
  • Hoho 
  • Embe dodo 
  • Bamia mbichi 
  • Maji ya Limao 
  • Karoti Kama huwezi kula bamia mbichi basi changanya na embe liliuva na utaweza

JINSI YA KUANDAA

  1. Safisha vyote kwa maji safi, kisha katakata kwa shape iliyo nzuri 
  2. Weka vema katika sahani yako kwa mpangilio mzuri

No comments:

Post a Comment

@chefkile